Tuesday, April 12, 2011

Mukama arithi mikoba ya Makamba

  Baadhi ya  wajumbe wa kamati kuu ya CCM  waliopatikana mmoja wapo ni Nape Nnauye akisoma orodha ya wajumbe wa Kamati Kuu jana White House Mjini Dodoma.
 Wajumbe wakiwa makini kumsikiliza Npe Nnauye akisoma majina ya kamati Kuu ya CCM waliopatikana baada ya Kamati Kuu ya CCM kujiuzulu.
 Mmoja wa wajumbe wa Mkutano huo.
Waziri Mkuu aliyestaafu Mhe.Edward Lowasa akiwa na Muasisi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mzee Kingunge Ngombale Mwilu katika ukumbi wa ofisi ya Chama hicho White House wakibadilishana mawazo.


Bwana William Mkama amechaguliwa kuwa katibu mkuu wa CCM na makamu wake ni Mhe.Chiligati kuchukua nafasi za wezao waliojiuzulu nyazifa zao Juzi.

Wengine wajumbe waliochaguliwa katika Kamati kuu ya CCM ni pamoja na Lameck Nchemba,Abdullah Juma, Vuai Ali Vuai,Nape Nnauye na January Makamba.

No comments:

Post a Comment