Tuesday, April 12, 2011

Kuimarika kwa Chama ni wanachama – Kikwete

 'Hatugombani tukiondoka hapa sio mtu anaandika SMS kwa viongozi kuwa hakuelewa kitu,kila mtu alipata muda wa kutosha kuelezea alichokuwa nacho' Alisema Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho kikwete katika ukumbi wa ofisi wa chama hicho white house mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment