Tuesday, April 12, 2011

HABARI KWA UFUPI.RUSHWA IMESHAMIRI BUNDA ILI UFIKE KWA BABU LOLIONDO

Magari zaidi ya 500 ya kwama katika mji wa Bunda Mkoani Mara yanayo peleka wagonjwa kwa Babu Loliondo kwa ajili ya matibabu ama kupata Kikombe.

Hoyo ni mmoja wa watu waliokwama Bunda kwa kile kinacho ambiwa bila 150,000 gari haliwezi kupata kibali.100,000 ndio kabisa gari haliwezi kupata kibali.Ama kweli usemi usemao kufa kufana kumethibitishwa  huko Bunda.

Huyu bwana anasema rushwa imetawala kweli katika mji wa Bunda ya kutoa vibali vya magali yanayoenda Loliondo kwa Babu kupata kikombe.

No comments:

Post a Comment