Monday, January 17, 2011

TANZIA

Familia Bahati Chale Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania tawi la Iringa Inastikitika kutangaza kifo cha mke wake mpendwa Mwalimu Sairis Mhagama kilichotoke juzi kwa ajali ya gari tanangozi mkoani Iringa na mazishi yamefanyika leo nyumbani kwake Mateke katika manispaa ya Songea,habari ziwafikie ndugu na jamaa popote pale walipo,wafanyakazi wa Chuo Kikuu Huria Tanzania na wanachuo wote waliopitia chuo kikuu Huria Tanzania Tawi la Songea  na Iringa popote pale walipo.

No comments:

Post a Comment