Saturday, January 15, 2011

SEHEMU YA JUU YA JENGO LA OPD KATIKA HOSPITALI YA MKOA SONGEA IKIWA NI BAADHI YA MAJENGO YALIYO KARABATIWA KWA FEDHA ZA SERIKALI

Moja ya majengo yaliyofanyiwa ukarabati kutokana na fedha za serikali,ushauri wa karibu kutoka uongozi wa juu wa mkoa,waheshimiwa wabunge Dkt Emanuel Nchimbi,Celina komabane,Mhe.RAS Salehe Pamba pamoja na uongozi wa Taasisi ya Hosipitali hiyo.

2 comments:

  1. Picha nzuri sana hii. Shukrani. Siku zijazo, nitaiomba niitumie kwenye blogu yangu ya ki-Ingereza, ambako najiandaa kuandika makala ya kuitangaza Ruvuma kwa upande wa utalii. Tuko pamoja, Mkuu.

    ReplyDelete
  2. Usijali Tuko pamoja cha msingi unipe Email yako nitakutumia picha ambazo utazi hitaji.

    ReplyDelete