Wednesday, January 19, 2011

KUKAA KWENYE CHINI YA MITI NYUMBANI INAPENDEZA WAKATI MWINGINE AU MAMA BAADA YA KAZI KUTULIA NI SAFI SANA

 Bwana Sikapundwa akiwa amekaa chini ya miti yenye kivuli kutokana na joto kali Katika mji wa Dodoma mchana wa kumalizia mwaka 2010.
Mrs Sikapundwa akiwa akipokea simu mbalimbali za kumtakia heri ya mwaka mpya kabla ya saa 6 usiku wa mwaka 2011 nyumbani kwao Dodoma.

No comments:

Post a Comment