TUJIFUNZE KUSINI ni kati ya Magazeti ya elimu ya watu wazima ya Kanda za elimu Saba nchini
Gazeti hili hutolewa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na kuchapwa na kituo cha uchapaji S.L.P.712 SONGEA.
zikiwemo kanda za Kusini,Nyanda za Juu Kusini,Mashariki,Kaskazini,Kati ,Magharibi na Kanda ya Ziwa.
Shukrani kwa taarifa hii. Sikujua kuna gazeti hili huko kwetu Ruvuma. Ingekuwa siko mbali namna hii, ningeagiza.
ReplyDeleteBasi Gazeti hili ni la muda mrefu sana Kanda ya Kusini,Lengo ni kuwapelekea wananchi vijijini ambako Magazeti mengine hayawafikii kwa urahihi.
ReplyDeleteNashukuru pia ,Na Heri kwa mwaka mpya huko uliko,kama unasoma Blog hii ambayo inajaribu kuleta sura ya kusini kwa wananchi wengine wanaodhani kusinu hakuna maendeleo.
Nakutakia afya njema,
Sikapundwa.