Monday, January 17, 2011

MKUU WA CHUO KIKUU HURIA TANZANIA TAWI LA IRINGA BWANA BAHATI CHALE AKIWA NA MAJONZI WAKATI WA MAZISHI YA MKEWE MATEKA MANISPAA YA SONGEA LEO

 Bwana Bahati Chale mwenye koti akiwa na tafakari nzito wakati wa buriani kwa mkewe mwalimu Sairis Mhagama wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya mateka Manispaa ya Songea leo
 Jeneza la Marehemu Sairis Mhagama likiingizwa kaburini leo baada ya kutoka kanisani kanisa dogo la Mateka Manispaa ya Songea.
Padre akiendelea na Ibada ya Marehemu Sairis Mhagama baada ya Jeneza kuwekwa kaburini,ili mazishi yaendelee,watu wengi walifurika katika msiba huo,ambao ulisikitisha kila mmoja aliyeitambua familia Ya Bwana na Marehemu Bibi Chale.Bwana alitoa Bwana alitwaa.Roho ya marehemu Sairis Mhagama Mungu aweke mahali peme Peponi.Amin.

No comments:

Post a Comment