Wednesday, January 19, 2011

KUMALIZA MWAKA SI MCHEZO,WENGI HUENDA MAKANISANI,WENGINE KUCHOMA MAGURUDUMU YA GARI,LABDA KUIMBA KWA FURAHA NA SHANGWE NA WENGINE HUNYWA NA KULA PAMOJA ISHARA YA KUMSHUKURU MUNGU.MAMBO KAMA HAYO.

 Ilipofika saa 6 usiku wa mwaka 2011,familia hii ilitakiana kunywa kwa afya,nyumbani kwao Dodoma kwa lengo lakumshukuru Mungu alivyo weza kuwafikisha mwaka 2011,kwani si kitu cha mchezo kumaliza mwaka.
Ni jambo la kumshukuru Mungu iwapo familia imefanikisha malengo yake iliyojiwekea kwa mwaka uliyopita.Na kuanza kufikiria malengo mengine ya mwaka unaofuatia na kuzidi kumwomba Muumba aweze tena kufanikisha malengo mapya.Na kama hukufanikisha mwaka uliyopita ni jambo jema ,ni kuzidi kumwomba,anayeomba kwa dhati hupewa.

No comments:

Post a Comment