Wednesday, February 27, 2013

MWALIMU MKUU WA SHULE YA MSINGI UKOMBOZI KATIKA MANISPAA YA SONGEA ATEMBELEA KITUO CHA TUJIFUNZE KUONA JINSI KINAVYO FANYA KAZI

 Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Ukombozi katika Manispaa ya Songea Bibi Emeld Mbawala akipata maelezo ya mashine ya uchapishaji wa magazeti kanda ya kusini Songea kutoka kwa mhariri msaidizi Bw, Juma Nyumayo alipotembelea kituoni hapo jana.
 Bibi Mbawala akizungumza ofisini kwa Mhariri Kanda ya Kusini Songea kabala hajaende kutembezwa kiwandani hapo jana.
Bibi Mbawala akiuliza jambo kwa fundi mchapaji hayupo katika picha jinsi mashine inavyo chukua karatasi na kupelekwa kuchapwa.

1 comment:

  1. Safi sana. Nami nangojea kwa hamu kuwa labda siku itakuja nitembelee kituo hiki. Kutokana na taarifa ninazosoma katika blogu hii, nimejenga hisia kuwa kituo hiki kinafanya kazi nzuri na muhimu. Nawatakieni kila la heri.

    ReplyDelete