Thursday, September 1, 2011

FAMILIA YA SIKAPUNDWA ILIVYO SEREBUKA NA ARUSI YA MTOTO WAOMPENDWA EPIMAKI SIKAPUNDWA NA COLETA MAMBI WA MTYANGIMOBOLE SONGEA RUVUMA ,MBALIZI MBEYA

 Bwana Epimaki Sikapundwa amefunda ndoa na Bibi Coleta Mambi wa kijiji cha Mtyangimbole Songea Ruvuma katika kanisa la Mbalizi mbeya tarehe 26/8/2011
 Bibi Coleta Mambi wa Mtyangimbole Songea amefunga ndoa na Bwana Epimaki Sikapundwa wa Dodoma katika kanisa la Roman Catholic Mbalizi Mbeya hivi
 Padre anatoa baraka kwa maarusi hao
 Mama mzazi wa bwana arusi Mama Sikqpundwa mwenye nguo nyeupe na watoto wa nyumbani kwao Mbeya wakiwa kanisani
 Bibi Coleta akisoma sala ya kumvisha Bwana Epimaki Pete ya ndoa
 Bwana Epikami akisoma sala ya kumvisha Mkewe pete ya ndoa
 Shangazi wa Epimaki akikabidhi zawadi ya CD Deki mezani
 Mr & Mrs Epimaki jukwaani ukumbini

Wakiteta jambo hapo chini







2 comments:

  1. Hongera wanafamilia, Hongera wanaharusi kwa kufunga pingu za maisha Mwenyezi Mungu awabariki na muwe na maisha mema katika ndoa yenu.

    ReplyDelete
  2. Pongezi kwa maharusi.
    Fahari kwa wazazi,ndugu jamaa na marafiki.
    Nawatakia maisha mema yenye mafanikio tele.

    ReplyDelete