Friday, September 2, 2011

LEO NILIKUWA HAPA NYUMBANI DODOMA NA KUPATA PICHA HIZO


 Barabara ielekeayo Dar es salaam ukitokea Standi ya mabasi mji wa Dodoma kwa mbali kulia ni jengo la Bunge,si mbali sana kutoka nyumbani kwangu hapa mjini Dodoma.
 Hilo ni basi linaenda Dar es salaam likitokea stendi
Lakini pamoja na kuwa na magari pia kuna wananchi wanaotembea kwa miguu na wengine kwa baiskeli.

No comments:

Post a Comment