Friday, September 9, 2011

BONGO NA RAHA ZAKE KWENYE ANGA ZA USAFIRI,ASUBUHI NA JIONI

 Sheria ni msumeno,Madereva wanatii amri ya taa za barabarni,ni utaratibu mzuri wa kupunguza ajali zisizo na mpangilio katika Jiji.Lakini kuongezeka kwa magari katika Jiji hilo kumeongeza pia foleni ya magari kuwa ndefu hasa wakati wa asubu watu wakienda kazini nawanafunzi kwenda shuleni  na kaurudi wakati wa jioni.
Lakini wenye pikipiki wao wanapeta tu hawasubiri foleni ,wao wanapita pembeni mwa barabara wanapojikuta wako katika msongamano wa magari.Ingawa wanawasumbua watembea kwa miguu.

No comments:

Post a Comment