Bwana Method John Ngerangera akiorodhesha mradi inayo endeshwa na Mtandao wa Mazingira Mkoa wa Ruvuma.Alisema kuwa jina la mradi ni Hifadhi na Ulinzi Shirikishi Jamii wa misitu na vyanzo vya Maji.Alisema Mtandao wake unatarajia kutoa mafunzo katika Tarafa ya Madaba katika Kata za Wino,Mahanje na Matumbi.
Hiyo ni Nembo ya Mtandao wa Mazingira Mkoa wa Ruvuma
Wajue viongozi wa Mtandao huo,wa kwanza juu ni mwenye kiti Bwana Methodi Jo hn Ngerangera,wapili ni Bwana Wilbery Xavery Mahundi Katibu na watatu ni Bibi Magreth Gregory Ponera Mweka hazina
Bwana Ngerengera anaelezea jinsi Mtandao wao unavyo fanya kazi,alisema wanafanya kazi kihalali na wamepata Namba ya Usajili OONGO/0000/3881 Maeneo ya kufanya kazi ni Tanzania Bara wapo tayari kufanya kazi mkoa wowote iwapo watapata mialiko.Ametaja namba zake za simu kuwa ni pamoja na:-

- Ofisi + 255 - 252602505
- Res. + 255 - 25260241
- Mob +255 - 713066677
- + 255- 784609639
- + 255 - 755 377784
No comments:
Post a Comment