Sunday, September 4, 2011

JUMAPILI YA LEO NIMEJUMUIKA NA WAUMINI WA KANISA KATOLIKI LA MT.STEPHANO MJINI DODOMA

 Kanisa la   Mtakatifu Stephano la mjini Dodoma maeneo ya Mlezi,ni waumini wakitoka ibada ya kwanza asubuhi ya leo,
 Barabara itokayo na iendayo uwanja wa ndege Mjini Dodoma,leo jumapili barabara imetulia kama vile hakuna magari mjini hapa,kumbe sivyo.
Hilo mbele yako ni jengo la makao makuu ya CCM Chama Tawala mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment