Sunday, September 4, 2011

WATOTO WALIYOUNGANA IKONDA MAKETE SASA WAKO SEKONDARI

 Watoto hawa aliye lala anaitwa Maria na aliyemkalia Maria anaitwa Consolata,Consolata na shirika lililo chukua dhamana ya kuwalea watoto hao kuanzia wachanga hadi sasa wako sekondari.
 Hata wanapokula chakula inasemekana kuwa aliyonekana amemkalia mwenzake ndiyo anakula sana kumshinda aliyeonekana amelala.watoto hawa walifulumtihani wa taifa na kuchaguliwa kuingia kidato cha kwanza
Maria na Consolata wakiwa darasani wakiandika somo kama wanafunzi wengine waliyo kuwa wanajitegemea.Maria na Consolata wanasema kuwa wanataka kujifunza Computer.Wanasema wanatumia baiskeli waliyopewa na shirika la Consolata.kwa hiyo wanaomba watu wenye huruma wawasaidie baiskeli nyingine mpya.Namba yao kwa mawasiliano ni Na.0754 433157 Watoto hao walizaliwa katika Hospitali ya Misheni Ikonda Makete.

Mungu anatisha pamoja na watoto hao kuungana tumboni lakini wana akili ambapo katika kila mmoja anapata alama tofauti na mwenzake,na wala hawatizamiani.

1 comment:

  1. Mungu yupo nanyi Maria na Consolata...Hakuna kisichowezekana!!

    ReplyDelete