Tuesday, September 27, 2011

MKUU WA MKOA WA RUVUMA SAID MWAMBUNGU AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI OFISINI KWAKE LEO

 Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Bwana Said Mwambungu leo afanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa ofisi yake,Halmashauri na kuhitimisha na waandishi wa Habari wa Mkoa huo.
 Waandishi wa vyombo mbalimbali vinavyowakilishwa katika moa huo.
 Mwenyekiti wa Ruvuma Press Club  mwenye shati leupe na Kaimu RAS Dkt Anselim Tarimo mwenye suti ya bluu aunda.
 Mwandishi wa habari Dada Cresencia Kapinga akitoa hoja.
 Waandishi akiwemo mwenye baraghashia ni wa TBC Songea Msigwa
Bwana Mwambungu akiwasikiliza waandishi,lengo lake ni kutaka kufahamina ili kuweza kubadilishana mawazo ya ujenzi wa maendeleo ya Mkoa huo.

2 comments:

  1. Ahsante kwa kutuhabarisha habari za huko kunyumba!!!

    ReplyDelete
  2. Shukrani kwa habari hii murua, na picha. Nimekumbuka tulivyoonana hapa Songea, mwezi Agosti mwanzoni, kisha nikaandika kijitaarifa hiki hapa.

    ReplyDelete