Friday, September 2, 2011

MIAKA 50 YA UHURU JESHI LA WANANCHI LIMEFANYA MENGI JENERALI DAVID MWAMNYANGE ABAINISHA

Jenerali David Mwamnyange mkuu wa majeshi ya Ulinzi Tanzania alisema kuwa majeshi ya Ulinzi Tanzania yamefanya mambo mengi sana  ya maendeleo,ya ulinzi na usalama wa nchi,kama vile vita vya Kagera.
Aidha alisema shughuli nyingine ni  katika ujenzi wa miundombinu,kama ujenzi wa madaraja,majengo mbalimbali na usafi wa mazingira.Mengine ni kwenda kujiunga na majeshi ya ukombozi ya kulinda amani.

No comments:

Post a Comment