Wednesday, November 24, 2010

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE ATEUA BARAZA LA TATU LA MAWAZIRI LEO KATIKA AWAMU YAKE YA KUIONGOZA NCHI KUPITIA CCM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo Ikulu ya Jijini Dar es salaam  ameteua Baraza lake la Mawaziri,likiwa ni baraza la tatu tangu aingie madarakani.Baraza la kwanaza lilikuwa mwaka 2005 la pili mwaka 2008 na la tatu mwaka 2010.Hongera kwa uteuzi wake ni matumaini ya watanzania kuwa ameteua watu wachapa kazi kwa umahiri wa hali ya juu.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi ni Mheshimiwa Shukuru kawambwa,ambapo Waziri wa Elimu wa awali Prf .Jumanne Maghembe amepelekwa Wizara ya Kilimo na Chakula.

 

No comments:

Post a Comment