Picha hiyo iliyo na ujumbe usemao ( We are watching You ) imebuniwa na chuo kikuu kimoja Nchini Uingereza,kwa lengo la kupunguza wizi wa Baiskeli nchini humo.Kwa taarifa ya usalama nchini humo inasema wizi wa baiskeli umeshamili kwa asilimia 63%.
Lakini kutokana na picha hiyo kuwepo,imesaidia kupunguza wizi huo kwa asilimia 62%, Lakini ukiangalia kwa makoni macho hayo yalivyo pamoja na ujumbe wake kweili unaweza kumsuta mwizi , kujikuta anaonekana na watu hivyo anaacha kuiba Baiskeli.
Ukiitazama picha hiyo utakuta macho hayo yameelekeza kwenye baiskeli zilizowekwa,na yamekazia hasa kwenye baiskeli hizo.

No comments:
Post a Comment