Sudan ofisi za serikali
Raman ya Sudan na Picha ya Rais wa nchi hiyo Omar al - bashir na Ramani Sudan Kusini
Mji wa Sudan Kusini ulivyo chukuliwa kwa juu
Sudan kusini inakabiliwa na changamoto lukuki zikiwemo, uhaba wa maji wanachi wananunua maji yanayopelekwa kwenye matanki,umeme siyo wa uhakika,huduma ya afya si wa kuridhisha.
Mji wa Juba nchini Sudan Kusini
Daraja katika mto Nile na Noel Mwakalindile TBC alivyo tembelea Mji wa Juba nchini Sudan hivi karibuni katika mchakato wa upigaji wa kura za maoni na kuhoji wananchi kuhusu kujitenga na Sudan ya Bashir.
Ambapo asilimia 98 ya wananchi
wamechagua kujitenga ,Takribani wananchi milioni 4 sehemu mbalimbali nchini
humo katika nchi 8 za nje.na askari 60 elfu walihusika na ulinzi na usalama katika
uchaguzi huo,ambapo waangalizi zaidi ya
10 elfu wan chi hiyo na wakimataifa 1,500 walikuwa waangalizi wa upigaji kura
za maoni nchini humo.
Sudan
Kusini itakuwa Jamhuri mpya tarehe 9 Julai 2011 na hatimaye kujiunga na
Jumuiya ya nchi za Afrika Mashariki. ( Source Urary 95 )
No comments:
Post a Comment