Sunday, March 3, 2013

CHUO CHA USHIRIKA MOSHI TAWI LA RUVUMA KINATOA ELIMU YA USHIRIKA

Hiki ni Chuo cha Ushirika Tawi la Ruvuma  katika manispaa ya Songea ,kinatoa mafunzo ya Elimu ya Ushirika kwenye vikundi vya ushirika wa SACCOS.

2 comments:

  1. Sikujua kuna tawi la chuo hiki Songea. Nimefurahi, kwani ni dalili ya jinsi jiji letu la Songea linavyoendelea kupiga hatua.

    Kitakachohitajika ni kuwepo mambo kadhaa muhimu, kama vile maduka ya vitabu. Hatuna duka la vitabu Songea ambalo linaweza kukidhi mahitaji ya hivi vyuo. Hali hii lazima ibadilike.

    ReplyDelete
  2. Ni kweli kabisa ,iwapo kuna uwezekano wa kuwepo kwa vitabu hivyo,ingekuwa ni faraja kwa watu wanaotaka kujifunza elimu ya Ushirika hapa Songea.

    ReplyDelete