Tuesday, March 12, 2013

AFISA KAZI ARIDHISHWA NA KAZI ZINAZOFANYWA NA KITUO CHA TUJIFUNZE KANDA YA KUSINI SONGEA

 Afisa kazi Bw.Oddo Hekela katikati akizungumza na mhariri msaidizi kanda ya kusini Bw..Juma Nyumayo mwenye shati la njano,mwenye shati mikono mifupi ni Bw.Emmanuel Mwandibwa ameongozana na Afisa kazi
 Bw.Sikapundwa Mhariri mkuu Kanda ya kusini akisalimiana na Afisa kazi alipotembelea kituoni hapo hivi karibuni.

 Bw.Hekela anasifia shughuli zinazofanyika katika kituo hicho.

 Bw.Sikabundwa Mhariri Mkuu akimwonyesha Bw.Hekela gazeti la TUJIFUNZE toleo Na.7 la Januari - Machi 2013,Printing section


No comments:

Post a Comment