Sunday, April 22, 2012

NAWATAKIENI AMANI WASOMAJI WA BLOG HII KOKOTE WALIKO,NA TUZIDI KUMUOMBA MUNGU ATUJALIE AMANI.

Tuzidi kumuomba Mungu atuzidishie amani,upendo Duniani,kwa watu waliyokata tamaa ya muishia waliyokata tamaa kutokana na hali ya maisha kuwawia ugumu,kwa kukosa ,huduma muhimu,elimu,afya,chakula, mavazi na mambo kadha wa kadha.Mungu utuhurumie viumbe wako tuliyo wadhahifu,utupe nguvu ya kushinda majaribu yote ya dunia hii.

2 comments:

  1. Shukrani kwa ujumbe murua. Tuko pamoja, Mkuu.

    ReplyDelete
  2. Ahsante sana kwa ujumbe maridadi.Nawe pia Mungu akujalie Amani.

    ReplyDelete