Saturday, April 7, 2012

NAWATAKIA PASAKA NJEMA,WAUMINI WA MANISPAA YA SONGEA WANAUNGANA NA WAUMINI WENZAO DUNIANI KATIKA MKESHA WA PASAKA

Leo duniani waumini wanamkesha wa Pasaka,nawatakia sikukuu njema,iwe yenye amani na upendo kwa wanadamu woteambao wamekata tamaa ya maisha,ambapo wanakabiliwa na changamoto za maisha lukuki,zikiwemo njaa,vita vya wenyewe kwa wenyewe,unyanyasaji wa kijinsia na mambo kadhaa yanayomkabili,hivyo tumuombe kristu mfufuka ,atuepushe na shida zote za dunia hii.

1 comment:

  1. Nimeipenda sala hii nami naungana nanyi na pia nakutakia nawe pia na kila atakayepita hapa. PASAKA NJEMA SANA!!

    ReplyDelete