Bi Biffa Barran Sulle akiwaelezea waandishi wa vymombo vya habari idadi ya vifaa vilivyo kuweko ndani ya container ,ambavyo kesho pamoja na viongozi wa UWT mkoa watakabidhi kwenye uongozi wa hospitali ya mkoa ya Songea.
Baadhi ya waandishi wa vyombo vya habari pamoja na uongozi wa UWT mkoa na mgeni wao Bi Sulle katika ukumbi wa Serengeti katika Manispaa ya Songea leo.
Baadhi ya waandishi wa vyombo vya habari pamoja na uongozi wa UWT mkoa na mgeni wao Bi Sulle katika ukumbi wa Serengeti katika Manispaa ya Songea leo.
COORDINATOR wa wahisani hao Bibi
Biffa Barran Sulle The Tanzania Ecology
Serving Foundation ( Country Coordinator ),akiongea na vyombo vya habari Mkoani
hapa alisema kuwa Container la vifaa hivyo lipo njiani na kesho asubuhi
kutakuwepo na makabidhiano na uongozi wa Hospitali ya mkoa.
Bibi Sulle alivitaja vifaa hivyo kuwa ni
pamoja na vitanda 30 vya umeme,microscope moja,microscope kubwa mbili,taa ya
upasuaji,taa malum ya buluu,taa yenye lensi,” Defilibrator tatu,Light boxe tatu
za X – ray,matandiko 29,makasha 102
yenye vifaa vya hospiltali na
Sacs with clothes.
Vingine Side table 15,Dentist
lamp,Dentist chair,Toy pieces mbili,box 10 za vifaa vya
hospitali,box 10 za ring binders,Centrifuge for blood, Respirator
mbili,Utrasound Scanner and,Lift for patients
Aidha alisema katika container hilo kuna vifaa vya elimu,vikiwemo vitabu,box tano,Incubator
kwa watoto wanaozaliwa kabla ya muda ( pre – mature
No comments:
Post a Comment