Wednesday, November 21, 2012

WAANDISHI WA HABARI WA MAGAZETI VIJIJINI - TUJIFUNZE KANDA YA KUSINI WAMEANZA KUKUSANYA HABARI ZA GAZETI LAO

 Bwana Juma Nyumayo na Bw.Joram Mwaipopo wakisalimiana katika ofisi ya Mhariri kabla hajaanza safari ya kwenda Mkoani Lindi kuandika habari za TUJIFUNZE toleo la Desemba mwaka huu.
 Bwana Gedion Mwakanosya akiwa katika ofisi ya Tujifunze akisoma mambo muhimu anayotakiwa kwenda kuandika kwa ajili ya Gazeti hilo.karika mkoa wa Mtwara.
Bwana Juma Nyumayo mwenye T - Shirt ya mistari na waandishi wenzake wakisikiliza maelekezo ya kwenda kufanya katika mikoa ya Lindi na Mtwara.

1 comment:

  1. Shukrani kwa taarifa hizi. Kama kawaida, zinanikumbusha nyumbani. Nimefurahi kumwona Mheshimiwa Mwakanosya, nikakumbuka tulivyokutana hapa Songea miezi mingi iliyopita. Nawatakieni kila la heri.

    ReplyDelete