Hiyo ndiyo meza kuu waliyo kaa wastaafu na wenzi wao wa katika mwenye tai na mkewe nia Bw.Siprian Tawete mstaafu mwaka 206,anayefuata kulia kwake mwenye kitambaa cheupe Bibi Feblonia Banda aliyestaafu mwaka 2010 na Mmewe Mr.Banda na wa tatu ni kwenye suti nyeusi amezibwa na ua Bw.Joramu Mwaipopo kushoto kwake ni Mkewe Mrs Mwaipopo.
Bwana na Bibi Tawete
Bibi na Bwana Banda
Bwana na Bibi Mwaipopo
Mfanya kazi aliyebakia kituoni Bw.John Mponda mlinzi na Mkewe.
Bwana Charles Lukoto Mpiga chapa
Wageni waalikwa wa kwanza Mke wa Mhariri msaidizi Bw. Juma Nyumayo ( Mrs Nyumayo)
Mke wa aliyekuwa Mkuu wa kituo hicho (Marehemu Enos Mwabina) Mrs Mwabina
Mrs Nyumayo
Mhariri wa kituo hicho Bw.Christian Sikapundwa
Baadhi ya wasaidizi wa kituo katika kuelemewa na kazi Bw. Yusufu Kufakunoga chumba cha giza ( dark room ).
Kituo cha uchapaji Magazeti
Vijijini ,Kanda ya Kusini leo kimewaaga wafanya kazi watatu waliyostaafu kwa
miaka tofauti.
KITUO cha magazeti vijijini
Kanda ya Kusini Songea ,kimewaaga wafayakazi watatu waliyostaafu kwa mujibu wa
utumishi baada ya kufikisha miaka 60 wa umri kwa kuwafanyia tafrija fupi katika
Hoteli ya Nipashe maeneo ya Mabatini katika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.
Watumishi waliyo staafu
kulingana na kupishana kwao ni pamoja na Bwana Siprian Tawete aliyekuwa Mlinzi
mwaka 2005,Feblonia Banda Mtunza ofisi mwaka 2010 na watau ni Bwana Joramu
Mwaipopo mlinzi aliyestaafu mwezi Juni 2012.
Tafrija hiyo imejumuisha
wataafu na wenzi wao ,ambao wote wemepatiwa zawadi wao na wenzi wao,kama motisha katika utumishi wao walipokuwa kituoni hapo.
Kituo kimewatakia maisha
mapya ya kujitegemea baada ya ukomo wa utumishi wao kituoni,na kwamba wao pia
wamewatakia wafanya kazi waliyokuwemo katika ajira amani na mshikamano kazini.
Baada ya kustaafu watumishi
hao Kituo kimebakiwa na watumishi sita tu kitu ambacho kitafanya kituo kizidiwe
na majukumu katika utndaji kazi wao.
No comments:
Post a Comment