Wednesday, June 13, 2012

HIVYO NI KWELI ? AKINA MAMA WANAMOYO MGUMU HIVYO? TAFAKARI!

Wewe na mie tuchunguze vizuri photo hiyo, ni dampo la takataka eneo moja huko Mtwara,lakini ukichunguza sana utaona ni uchafu uliyokuwa pamoja na binadamu,binadamu aliyezaliwa na mwanamke.
Ni kitoto kichanga kilichozaliwa na mama huko Mtwara na kukitupa kwenye lindi la mikusanyiko ya kila aina ya uchafu,Hivyo wimbo wa nani kama mama una maana yoyote kwa akina mama wenye moyo wa ukatili kama huyo? .je ni kitu gani kilicho msibu mama huyo hadi kufikia kufanya kitendo hicho kiovu.( Source Mitandao ya Kijamii ).

1 comment:

  1. Mau yoyo! yaani nimepatwa na maumivu ya tumbo na kujiuliza maswali mengi yasiyo na majibu...Malaika kama huyo jamani kweli akina mama....

    ReplyDelete