Sunday, January 1, 2012

NAWATAKIENI HERI KWA MWAKA MPYA 2012 UWE WENYE AMANI ,UTULIVU,NA FARAJA DUNIANI,MSHIKAMANO WA WATU WALIYOKATA TAMAA YA MAISHA .

NI muda mrefu kiasi sijaonekana katika mtandao wa Blog TUJIFUNZE KUSINI kwakuwa  ni ko likizo  nyumbani Dodoma.ambako niliunguliwa na nyumba hivyo umeme nategemea kesho au kesho kutwa tutakuwa sote hewani
 Nawatakieni Jumapili njema ya mwaka mpya wa 2012  juma la kwanza la mwaka  mpya.


1 comment:

  1. pole kwa kuunguliwa nyumba...na kheri sana kwa mwaka mpya 2012 nawe pia familia nzima.

    ReplyDelete