Thursday, January 12, 2012

BAADA YA KAZI NI KUJIBURUDISHA NA VINYWAJI BARIDI

 Baada ya shughuli zangu tulitulia kwenye duka moja tukapata soda baridi,tukiwa na Kaka yangu Mzee Ally  mwenye kofia na Dada yangu Mrs Mnose,kimamba kilosa hivi karibuni.
 Hao ni dada Mrs mnose,kaka yangu Mzee Ally na aneno Mziwanza wote wa Kimamba wakipata soda,
Wakiwa wakibadilishana nawazo baada ya kupata soda.

1 comment:

  1. Safi kazi na pia kupumzika maana bila hivyo huwezi kufanya kazi kwa umakini.

    ReplyDelete