Friday, November 25, 2011

MKUU WA WILAYA YA NAMTUMBO KUWA MGENI RASMI KWENYE MAANDAMANO YA KUPINGA UKATILI SONGEA LEO

 Mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya Natumbo mkoani Ruvumba Bwana Saveri Maketa mwenye tai akisubiri maandamano kuyapokea katika viwanja vya makumbusho ya Taifa ya majimaji mjini Songea Leo.
 Bwana Maketa akisikiliza kwa makini mashairi yaliyosomwa na wanafunzi wa sekondari kupinga unyanya saji wa kijisnia katika jamii ya watu duniani.
 Wanafunzi wa sekondari wakiimba mashairi
wananchi wakisikiliza shaili hilo kwa makini

1 comment:

  1. wakati wote ni raha sana kuingia hapa na kupata mawili matatu ya kunyumba. kazi njema na dominika yabwina.

    ReplyDelete