Hayo yamesemwa na majasilia mali Bwana Mmas Iramba anayeuza viatu vya mitumba ndani ya soko la Sabasaba katika manispaa ya Dodoma.
Mmasi alisema kuwa vijana waachane na magenge vijiweni, bila ya kujishughulisha kwani kuna fursa nyingi zinazoweza kumtoa kijana pale alipo na kusonga mbele kwa kufanya biashara.
Amesema alianza na viatu vichache lakini baada ya kupata mkopo ameweza kununua viatu vya mitumba vingi vinavyo mpatia faida na kulipa deni alilokopa.

No comments:
Post a Comment