Saturday, December 29, 2012

NAWATAKIENI HERI ,MAFANIKIO,AMANI,UPENDO NA MATUMAINI KWA MWAKA 2013

 Naomba wasomaji wa Blogs waendelee kusoma Blogs mwaka mpya wa 2013 kama walivyosoma mwaka uliyopita wa 2012.Tumshukuru Mungu kwa kutulinda hadi kufikia mwaka mwingine,hasa kwa kushiriki katika sikukuu ya X mas,ambapo kuna watu hawakufanikiwa kushiriki siku hiyo ingawa walitamani sana.
Nikiwa katika Blog yangu nikiwatakia wasomaji wangu ,heri ya Mwaka mpya wa 2013,Asanteni sana,Tuombeane maisha mema na marefu.

2 comments:

  1. Mimi ndio namaliza tu kusoma ujumbe wako uliouleta muda mfupi tu uliopita. Nakutakia nawe heri kwa Mwaka Mpya.

    Ninaingia Tanzania tarehe 3 Januari hii, ila kwa bahati mbaya sitapata wasaa wa kuja hadi Songea. Tutawasiliana kwa namna zingine.

    ReplyDelete
  2. Karibu sana Tanzania,nashukuru kwa mchango wako kwa chuo Kikuu cha Songea wa mawazo ambao umewapati viongozi wa chuo hicho,walinieleza jinsi mlivyo kutana na kuzungumza nao.
    karibu sana mie niko Morogoro lakini Juma tatu nitakuwa Wizarani kisha juma nne nitaelekea Songea.

    ReplyDelete