Wgeni hao walikuwa wakiambiwa shughuli zinazofanywa kwenye kituo hicho,na Mahriri wa TUJIFUNZE Kanda ya Kusini Bw.Christian Sikapundwa mwenye suti na tai sehemu ya ujaridi na ukunjaji wa magazeti.
Pia hapo akiwaelekeze mashine ya kukata au kusafisha kazi zilizokwisha kuchapwa.
Hapo mkuu wa msafara huo Mweka hazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga bw.Stephen Sidagulu ,anayepiga picha ,akipiga picha mashine ya kukunja haipo pichani.
Maelezo yakiendelea kutolewa sehemu ya ukunjaji wa magazeti.
Wikiangalie sehemu ya mashine kubwa ya kuchapa SORK ambayo inachapa magazeti makubwa ya TUJIFUNZE.
Aida walisema ni vigumu kutambua kama kuna mitambo mikubwa kiasi hicho, ukiwa unarudia mapokezi.Kwa kuwa ni nadra sana watu kuingizwa kiwandani hasa wakati wa uchapishaji nyaraka za siri za kiserikali na machapishi mengine ya kijamii.

No comments:
Post a Comment