Thursday, June 4, 2015

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AMEWASIHI WATANZANIA kuJIHADHADIRI NA WATU WANAOTAFUATA UONGOZI KWA USHABIKI,PIA WANANCHI NAO WASIWE WASHABIKI.







Katibu Mkuu huyo aliyasema hayo katika viwanja vya Railwa na Stndi  ya daladala kwa wafanya biashara    wa mabasi na wauzaji wa mboga katika Manispaa ya Dodoma akiwa njani kuelekea Bukoba kwa basi.

Aliesma Watu wasitafute uongozi kwa ushabiki bali kwa sifa zao, Sifa ambazo watanzania wanazitaka, sio wale wanaojivisha sifa hizo wanyewe , wananchi wajihadhari nao. Alisema sasa Makada wa ccm wanakuja Dodoma kuchukua Fomu za kutaka Uongozi nakwamba wanyeuwezo wa kumchagua kiongozi ni wanaCCM na wanchiw wenyewe na ndiyo wenye kusikiliza hoja zao,uwezo wao.kisha watafahamu ngozi anayefaa na asiyefaa

Aidha aliseama Wananchi wanauwezo wa kuwafahamu viongozi waongo,
watapeli,wazuri,waungwana na wanye uchungu na watu masiki,Kiongozi anayetakiwa ni yule atakaye weza kujibu hoja za sasa.

Hivyo  amewasihi viongozi wasikilize wananchi wanasema nini,sio kukaa ndani wakisikilizana waenyewe

 Katubu Mkuu wa CCM Ndudu  Ab dullahaman Kinana akiwaalimia wafanya biashara wa Stendi ya mabasi Mjini Dodoma akiwa safarini kuelekea Bukoba kikazi
Katibu Wa CCM Mkoa wa Dodoma akiwasalimia  wa nanchi Stendi ya mabasi Dodoma
 Katibu wa CCM wa Wilaya Dodoma akimkaribisha Katibu wa CCM wa Mkoa

Katibu wa , NEC CCM Itikadi  na Uenezi Ndugu Nape NNauye akimkaribisha Katibu  wa CCM Tanzania




 Baadhi ya wananchi
Basi analosafiri nalo Katibu Mkuu wa CCM

No comments:

Post a Comment