Sunday, June 14, 2015

MANISPAA YA DODOMA YAWEKA MJI WAKE KATIKA HALI YA USAFI KWA KUWEKA MAPIPA YA TAKA KILA MTAA, ILA KATIKA SOKO LA SABASABA KUNA RUNDO LA TAKA ZA MAJANI YA MIGOMBA





Mapipa kama haya yapo mitaa yote katika Manispaa ya Dodoma,na kila yanapo jaa kuna magari ya kuzoa taka , yanatoa taka zile na kuacha mitaa safi.
Tofauti ipo katika masoko ya matunda na mbogamboga,Blog hii ilifika katika  moja ya soko la Sabasaba  la mboga na matunda na kushuhudia mlima wa taka taka  na pembenei kuna lori lina pakua mabaki ya taka na kuzitelekeza pale ..Huwenda Bana afya akipitia ataamuru lori la kusomba taka lifike, ili kunusuru wafanya biashara na wateja wao kunusa harufu mbaya kutoka kwenye taka hizo.

No comments:

Post a Comment