Sunday, June 14, 2015

SEND OFF NA HARUSI HAZIWEZI KUWA NA MANJONJO BILA YA VIJANA WA SHOO, BASI HAO VIJANA MAARUFU KWA USHEREHESHAJI WA SHUGHULI HIZO HAPA DODOMA





Hawa vijana machachari sana katika Shoo kwenye Send Off na harusi mbalimbali , wanafanya maharusi na wageni waalikwa  kuona sherehe inachukua muda mfupi





Ndiyo hawa katika ukumbi wa Kilimani katika Manispaa ya Dodoma






Maharusi watarajiwa na wasimamizi wao,kushoto ni wasimamizi au wapambe na kulia ni Bwana na Bibi watarajiwa.
Hapo napo ni miondoko ya ngoma ya Kizigua ndani ya usiku wa Send off Kilimani
Mama akisema jambo upande wa wazazi wa Kiumeni

No comments:

Post a Comment