Saturday, June 13, 2015

AMANI,UVUMILIVU,UPENDO,FURAHA NI MANENO YA MZEE SEMKURUTO KWA ATHUMANI MOHAMEDI NA SUMAIA ,ALIPO WAPA MANENO YA FARAJA KATIKA MAISHA YAO YA NDOA ,KATIKA UKUMBI WA CHAMA CHA WALIMU MANISPAA YA DODOMA JANA

 Bwana na Bibi Athuman Mohamed wakifungua Muziki katika Ukumbi wa Chama cha walimu katika harusi yao jana Manispaa ya Dodoma
 Wazazi wa  Bibi Harusi Sumaia Baba na Mama mzazi
Picha ya pamoja na maharusi na kamati iliyofanikisha sherehe hiyo
 Mama mzazi wa Bwana Harusi Athumani Mohamedi
  Bw. Mnyinvua kushoto na Mzee Semkuruto mwenye tai,upande wa wazazi wa Bw.Harusi
 Bwana Harusi na Bibi harusi wakila chakula,ambapo Bibi harusi anamlisha kipande cha mguu wa kuku Mmewe mpendwa



Picha ya pamoja Maharusi ,Mama mzazi na Mwenyekiti wa Kamati kushoto

No comments:

Post a Comment