Thursday, June 4, 2015

JIHADHARINI NA WATU WANAOTAKA UONGOZI KWA USHABIKI, NA WANANCHI WASIWE WASHABIKI,WATAFUTE KIONGOZI KWA SIFA ZAO NA WALA SI WANAOJIVISHA SIFA HIZO WENYEWE ,ALISEMA KATIBU WA CCM NDUG.ABDULRAHMAHMAN KINANA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi katika viwanja vya Railwa stendi kuu ya mabasi Dodoma akiwa njani kuelekea Bukoba
Katibu wa CCM wilaya ya Dodoma akimkaribisha Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma
Katibu wa CCM Ndugu Mkumba akimkaribisha Katibu wa NEC CCM Itikadi na Uenezi ,Nape Nnauye  amkaribishe Katibu wa CCM


Katibu wa NEC CCM Itikadi na Uenezi ,Nape Nnauye,akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza  Katibu Mkuu huyo.

Katibu Mkuu huyo aliyasema hayo katika viwanja vya Railwa na Stndi  ya daladala kwa wafanya biashara    wa mabasi na wauzaji wa mboga katika Manispaa ya Dodoma akiwa njani kuelekea Bukoba kwa basi.

Aliesma Watu wasitafute uongozi kwa ushabiki bali kwa sifa zao, Sifa ambazo watanzania wanazitaka, sio wale wanaojivisha sifa hizo wanyewe , wananchi wajihadhari nao. Alisema sasa Makada wa ccm wanakuja Dodoma kuchukua Fomu za kutaka Uongozi nakwamba wanyeuwezo wa kumchagua kiongozi ni wanaCCM na wanchiw wenyewe na ndiyo wenye kusikiliza hoja zao,uwezo wao.kisha watafahamu ngozi anayefaa na asiyefaa

Aidha aliseama Wananchi wanauwezo wa kuwafahamu viongozi waongo,
watapeli,wazuri,waungwana na wanye uchungu na watu masiki,Kiongozi anayetakiwa ni yule atakaye weza kujibu hoja za sasa.

Hivyo  amewasihi viongozi wasikilize wananchi wanasema nini,sio kukaa ndani wakisikilizana waenyewe

No comments:

Post a Comment