Mhariri msaidizi wa TUJIFUNZE Bwana Juma Nyumayo mwenye suti nyeusi akiongea na Timu nzima ya Idara ya Elimu ya Watu Wazimak atika ofisi ya TUJIFUNZE walipotembelea ofisi hiyo hivi karibuni,kwa lengo la kuelezea maandalizi ya Juma la Elimu ya Watu Wazima litakalofanyika mapema mwezi ujao katika kata ya Seed farm katika Manispaa ya Songea.Ambapo kikundi cha MUKEJA cha Ufugaji ng'ombe wa maziwa kinatimiza miaka 10.
Afisa Elimu Vielelezo Bw.Mpangala akiandika mambo muhimu ambayo yatafanyika katika wiki hilo,ikiwemo michezo na burudani mbalimbali.
Picha ya Pamoja ya Maafisa hao ndani wakiwa na Mhariri msaidizi Bw.Nyumayo ndani.( Picha na Bw.Juma Nyumayo)
Picha ya pamoja nje ya Ofisi ya Maafisa Elimu Idara ya Elimu ya Watu Wazima ( Adult of Education Section Songea Municipal }
Aidha katika Juma hilo kikundi cha wafugajimng'omge wa maziwa watawapatia matoto wasiopungua 100 wa darasa la Tatu lita mojamoja za maziwa wenye umri wa miaka 10 katika shule ya msingi Luhira Seko katika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma.( Picha na Christian Sikapundwa ).

No comments:
Post a Comment