Thursday, December 25, 2014

IBADA ZA CHRISTMASS MJINI DODOMA ZIMEFANA SANA NA ZIMETAWALIWA NA MAHUBILI YALIYOSHEHENI AMANI,UPANDO NA MSHIKAMANO PAMOJA NA KUWAKUMBUSHA WAUMINI HAO KUJITOKEZA KWA WINGI WAKATI WA UCHAGUZI WA WABUNGE NA URAIS,BAADA YA IBADA NI KUWA PAMOJA NA FAMILIA NYUMANI KWA VYAKULA NA VINYWAJI NA WATOTO

Wajukuu wa kwanza kushoto ni  Karen Michael Sikapundwa  na wapili ni Ester Emanuel Sikapundwa wakisheherekea Christmass kwa soda na chakula .Hivyo ndivyo ilivyo kama picha zote zinavyo someka.
Bibi Chris Baby Boy Emanuel akiwa na Mjukuu wake
Karen & Ester
Bwana Emanuel Sikapundwa Na Mtarajiwa wake na watoto wao Ester & Chris Baby Boy na Karen Michael Sikapundwa
Mr& Mrs Neson Mwakyusa na Familia yake siku ya Christmass tarehe 25/12/204 Dodoma


Mr.Mwakyusa Watoto na Wajukuu siku ya Christmass Mjini Dodoma






















2 comments:

  1. Kumbukumbu nzuri. Nawatakieni kila la heri kwa sikukuu na Mwaka Mpya.

    ReplyDelete
  2. Tunashukuru Mungu kwa kutufikisha mwaka huu mpya wa 2015. Nawe pia nawatakieni maisha marefu na baraka tele .Salaam kwa familia.

    ReplyDelete