Tuesday, November 4, 2014
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE,AHIMIZA VIJANA KUJITOKEZA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI KWA SERIKALI ZA MITAA,KWA KUWA NI SAFARI YA UWEKEZAJI WA UONGOZI KWA VIJANA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wazee wa Mji wa Dodoma leo,baada ya kukabidhiwa Risala iliyo somwa na Katibu wa Baraza la wazee Shekhe Abdalah Makubeli.kisha ilikabdhiwa na Mwenyekiti wa Baraza hilo Balozi Job Lusinde.
Mwenyekiti wa Baraza la wazee wa mji wa Dodoma Balozi Job Lusinde amkabidhi Rais Jakaya Kikwete risala ya wazee hao iliyo mpongeza kwa ufanikishaji wa shughuli alizozifanya za maendeleo katika Awamu ya nne ya uongozi wake.
Mwenyekiti wa Baraza la wazee wa mji wa Dodoma Balozi Job Lusinde amkabidhi Rais Jakaya Kikwete risala ya wazee hao iliyo mpongeza kwa ufanikishaji wa shughuli alizozifanya za maendeleo katika Awamu ya nne ya uongozi wake.
Katibu wa Baraza la wazee mkoa wa Dodoma Abdalah Makubeli alisoma
Risala kwa niaba yao wazee hao.
I
.Walishukuru kwa kukubaliwa kuongea nao ,Aidha Risala hiyo ilielezea ( Suala la
kukua kwa uchumi, kuinua uchumi Mkoani Dodoma na taifa
kwa ujulma ,Kutuwezesha katika kilimo cha zabibu, viwanda ili kutoa
ajira kwa vijana wetu.
Katika
usindikaji wa mafuta ya kula na vya nyama. Pia walilisemea Suala la Makao makuu lipewe
Msukumo pamoja na kuiomba kuangalia Bodi
ya SDA ili kusaidie ustawisishiji wa mji wa Dodoma.
Walisemea
kuhusu ,muundo wa kusimamia Ardhi na makazi, na kuweka wazi ratiba ya
utekelezaji na ustawisishaji wa Makao Makuu. Hivi sasa mkoa unakuwa kwa kwasi. Mf kujengwa vyuo vikuu
vikubwa katika Afrika mashariki na hivyo wameomba kuipa Hadhi kuwa mji wa Dodoma na kwa wa kimataifa.napia liwe jiji.
Wamesema
kwa kuwa miundombinu yake ni bora inayo kidhi mahitaji ya kuwa Jiji kama Majiji
mengine nchini.
Sisi
wazee tumeona upo umuhimu wa kushukuru maisha ya mama na watoto tunaomba
kukamilisha ujenzi wa jingo katika Hospitali ya mkoa lililo jengwa kwa miaka 9
bila kukamilika,kwa ajili ya mama na watoto kwenye hospitali hiyo ya Rufaa ya
mkoa.na kwamba wazee hao wameomba kupatiwa huduma ya afya jirani.
Sambamba
na hayo hawakusaha Kumpongeza kwa kuanzisha mchakato wa Katiba pamoja na
vikwazo vingi.vilivyojitokeza na hatimaye Katiba iliyopendekezwa
akakabidhiwa,hivyo wameomba akamilishe kabla ya kuachia ngazi na kuongezea
wananchi wajitokeze kwa wingi katika
kuipigia kura ya ndiyo katiba iliyopendekezwa.
Na hatimaye Balozi Lusinde Mweyekiti wa Baraza
la wazee Dodoma alimkaribisha Rais Dkt
Jakaya Mrisho Kikwete.kuongea na wazee wa Dodoma.
Na
Rais anasema.wazee mkutano huu wameitisha wenyewe.,ningekutana nanyi lakini
nilikuwa na mambo mengi.Katika kujibia Risala ya wazee hao alisema
atayashughulikia na kuyafuatilia yote waliyo yaomba. Yajiwemo kwa
uwekezaji wa Hoteli,Viwanda, ili
kuongeza ajira kwa vijana wao. ,Ujenzi wa jingo la hospitali ya Mkoa wa Dodoma
na huduma za afya kwa wazee.na uwezekano wa kuwa Dodoma kuwa Jiji.
.Ndipo
alipozungumzia mambo manne muhimu
Alisema kuwa mahusiano yetu na China ni mazuri
ambapo alipokelewa vizuri sana kwa hafla maalumu ya kutimiza miaka 50 ya
mahusiano ya Serikali ya Tanzania na.Serikali ya China ambayo iliwakilishwa na na Makamu wa Rais na hatimaya kukutana na Rais.alisema
nusu karne ya mahusiano yetu yamekuwa na mafanikioa makuwa sana.
Rais
aliwahimiza wananchi kujiandaa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.TAMISEMI wamesha
anza maandalizi ya kuandaa Ratiba ambazo
zimeshatolewa.kwa majina ya mitaa,na Vitongiji.
Amewataka
wananchi kujitokeza kwa wingi kwenda kujiandikisha kwenye daftari la wapiga
kura, aidha wakati wa kupigia kura Katiba iliyopendekezwa wananchi wajitokeze kwa
wingi kwenda kupiga ya ndiyo . kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyo.
Aidha
amewataka wenye sifa kujitokeza kugombea uongozi kwenye Serikali za Mitaa watu
wazima,Vijana na wanawake wasibaki nyuma kujitokeze kugombea afasi hizo.
Alisema
vijana wajitokeze kugombea uongozi kwa kuwa jimo wapo ya uwekezaji katika
uongzi “ ni lazima tuanze safari ya uwekezaji katika uongozi” alisema Rais.
Jingine
alizungumzia Katiba iliyopendekezwa,” ni Katiba iliyo kidhi viwango vyote,ingekuwa kwenye mpira tungesema
imekamilika katika Idara zote,Katiba ni nzuri” alisema.
.
Monday, November 3, 2014
VIKAO VYA BUNGE VITAANZA HAPA MJINI DODMA HAPO KESHO
Kwa mujibu wa Katibu wa Bunge kwa waandishi wa habari Mjini hapa kuwa kesho Bunge litaanza vikao vyake ambapo waheshimiwa wabunge wameanza kuingia mjini Dodoma kwa ajili ya vikao hivyo vya Bunge.
WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE INCHINI LEO WAMEANZA MITIHANI YA KUMALIZA ELIMU YA SEKONDARI
Tujifunze kusini Blog inawatakia wanafunzi wa kidato cha nne mitihani mema,Aidha inawaombea Mungu awaepushe na vishawishi vya udanganyifu wa mitihani katika kipindi chote cha mitihani yao.
Subscribe to:
Posts (Atom)