Bwana Sikapundwa analishwa keki na mkewe Mrs Sikapundwa
BwSikapundwa anamkabidhi keki mkewe
Gw.Sikapundwa anamlisha mkewe keki
Bw. Sikapundwa anamlisha Baba Mkwe wake Mzee Bickson Bilali wa miaka 100 na siku 2
Mr & Mrs Sikapundwa
Bw.na Bibi Sikapundwa kushika kisu kukata keki haipo pichani
Mama Mdogo Yunesi Mwakyusa akikata vipande vidogo keki na ndiye mtengenezaji wa keki na bingwa wa upambaji kumbi za sherehe.anapatikana karibu na majengo ya Bunge Mjini Dodoma.
Wanamlisha keki binti yao wa Kwana Anna Sikapundwa Mwanafunzi chuo cha Biashara ASEK Dodoma.
Wanamlisha keki mtoto wao wa tatu mwalimu Michael Sikapundwa Manispaa ya Morogoro Mwanafunzi wa Open na Media.
Wanamlisha mtoto wao wa mwisho Bw. Emanuel Sikapundwa Dereva wa nyumbani na nimjasilia mali.
Wanamlisha keki binti wa kwanza wa mama mdogo Mwl Mwanafunzi Mtwara Magegreth Mwakyusa
Mama mdogo Yunes Bilal Mwakyua analishwa keki
Wanamlisha kike mama mkwe wao Mrs Micaheli mwalimu Manispaa ya Morogoro
Wanamlisha keki mke mtarajiwa wa Emanueli Mama Esta Mwajuma Bushiri
Wakijiandaa kuwalisha mama wakwe zao
Kukabidhiwa keki kwa ajili ya baadaye wakati wa mapumziko
Kumlisha keki mtoto Sarah mwanafunzi Dodoma Seko
Kumlisha keki mjukuu wa Maico carlen
Mwalimu Maiko akieleza wasifu wa baba na mama yake kama MS katika hafla hiyo
Mama Sikapundwa akisema jambo kuhusu safariya maisha yao hadi kufikia hapo wakiwa na watoto watano na wajukuu wanne.
Picha ya Bw.na Bibi Sikapundwa na wajukuu
Wajukuu wakisakata rumba waliloandaliwa na DJ wakiwaburudisha babu na bibi na waliyo hudhuria
Mrs,Mama Magreth Nelson Mwakyusa mtaalamu wa kutengeneza keki za ngazi zote kwa bei poa na ni mpambaji wa kumbi za sherehe anapatika kota za makole ,mkabala na majengo ya Bunge mjini Dodoma.kwa wakazi wa Dodoma na mokoa ya jirani mnaweza kupata huduma kutoka kwake.

Bwana Christian Sikapundwa
amefikia umri wa miaka 60, ambapo ilipofikia tarehe 25/12/2013 ilikuwa ukomo wa
Utumishi wa Umma Serikalini, akiwa mwalimu na Mhariri wa Magazeti vijijini
Kanda ya Kusini.
Kwa namna ya pekee familia yake
iliamua kufanya hafla fupi ya kumpokea Mstaafu huyo,ili kuungana na familia
yake kwa namna moja ama nyingine ni kitendo cha kumshukuru Mungu kwa kumweka
salama hadi siku ya mwisho ya kustaafu kwake akiwa na afya njema.
Hafla hiyo ilifanyika katika
ukumbi wa nyumba yake iliyojumuisha watoto wake wakiume na wake zao,watoto
wakike pamoja na wajukuu wake.
Aidha pia ilimjumuisha na Baba
Mkwe wake Mzee Dickson Bilali mwenye umri wa miaka mia moja na siku tatu,akiwa
bado na afya nzuri na mwenye uwezo wa kusoma maandishi ya Biblia bila miwani.
Aidha mzee huyo alisema kuwa baadhi ya vijana wa siku hizi hawawezi
kufikia umri wake kwa sababu ya mabadiliko ya maisha yanayo wafanya vijana
wengi kuiga matendo mbalimbali ya nchi za nje,na kwamba vyakula vingi vimekuwa
na kemikali nyingi ikilinganishwa na vyakula walivyo vitumia enzi ya ujana wake.
Ili
kuwapa picha halisi ya maisha ya Bwana Sikapundwa Mke wake Mrs Sikapunwa
alisema neno kuhusu maisha ya Bw. Na Bibi Sikapundwa, alisema kwa niaba ya
familia kuwa ili walazimu kufanya hafla hiyo kwa lengo la kumshukuru Mungu
kumpa afya njema akiwa kazini hadi siku yake ya mwisho alipokabidhi ofisi.
No comments:
Post a Comment