Tuesday, April 12, 2011
HII NDIYO MANISPAA YA SONGEA MKOA WA RUVUMA MASHIMO MTINDO MMOJA KWENYE BARABARA ZAKE
Hapa ni eneo la standi ya mabasi yaendayo wilayani vijijini,Ambapo watu wengi wanahangaika na shughuli za kuzalisha mali kwa kujiajili wenyewe kama kijana huyo hapo akiwa na mkokoteni wake.
Hii ni barabara katikati mji wa Songea ambayo inaafadhali shuhudia ukiingia Misufini,Majengo,Ruvuma ndipo utakapojua ni kiasi gani mvua ilivyo haribu mazingira ya Mji huuo.
Hii ni barabara katikati mji wa Songea ambayo inaafadhali shuhudia ukiingia Misufini,Majengo,Ruvuma ndipo utakapojua ni kiasi gani mvua ilivyo haribu mazingira ya Mji huuo.
HABARI KWA UFUPI.RUSHWA IMESHAMIRI BUNDA ILI UFIKE KWA BABU LOLIONDO
Magari zaidi ya 500 ya kwama katika mji wa Bunda Mkoani Mara yanayo peleka wagonjwa kwa Babu Loliondo kwa ajili ya matibabu ama kupata Kikombe.
Hoyo ni mmoja wa watu waliokwama Bunda kwa kile kinacho ambiwa bila 150,000 gari haliwezi kupata kibali.100,000 ndio kabisa gari haliwezi kupata kibali.Ama kweli usemi usemao kufa kufana kumethibitishwa huko Bunda.
Huyu bwana anasema rushwa imetawala kweli katika mji wa Bunda ya kutoa vibali vya magali yanayoenda Loliondo kwa Babu kupata kikombe.
Mukama arithi mikoba ya Makamba
Baadhi ya wajumbe wa kamati kuu ya CCM waliopatikana mmoja wapo ni Nape Nnauye akisoma orodha ya wajumbe wa Kamati Kuu jana White House Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu aliyestaafu Mhe.Edward Lowasa akiwa na Muasisi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mzee Kingunge Ngombale Mwilu katika ukumbi wa ofisi ya Chama hicho White House wakibadilishana mawazo.
Wajumbe wakiwa makini kumsikiliza Npe Nnauye akisoma majina ya kamati Kuu ya CCM waliopatikana baada ya Kamati Kuu ya CCM kujiuzulu.
Mmoja wa wajumbe wa Mkutano huo.Waziri Mkuu aliyestaafu Mhe.Edward Lowasa akiwa na Muasisi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mzee Kingunge Ngombale Mwilu katika ukumbi wa ofisi ya Chama hicho White House wakibadilishana mawazo.
Bwana
William Mkama amechaguliwa kuwa katibu mkuu wa CCM na makamu wake ni
Mhe.Chiligati kuchukua nafasi za wezao waliojiuzulu nyazifa zao Juzi.
Wengine
wajumbe waliochaguliwa katika Kamati kuu ya CCM ni pamoja na Lameck Nchemba,Abdullah
Juma, Vuai Ali Vuai,Nape Nnauye na January Makamba.
Monday, April 11, 2011
BREAQKING NEWS ! !HELKOPTA 5 ZALIPUA MAKAZI YA LAURENT GBAGBO
Helkopta 5 zikiwemo za umaoja wa Mataifa na za Ufaransa zimelipua makazi ya rais asiyetakiwa nchini Ivory Coast Jijini Abijani hapo jana,ambapo taarifa zimeripotiwa kuwa leo Bw.Gbagbo amekamatwa.
SAMAHANI WASOMAJI WA BLOG HII SIKUWEPO KATIKA MTANDAO KUTOKANA NA SABABU ZA KIMTANDAO
Nipo tena katika mtandao wa Blog hii,baada ya kutatua matizo ya kimtandao uliyo jitokeza,wala sikwenda kwa babu Loliondo kupata kikombe.
Ila inapendeza kweli kwenda kumwona babu live na kupata kikombe si lazima uwe mahututi,bali ni moja ya kuhakikisha miujiza ya Mungu ya kumshushia mtu dawa bila ya kupitia maabara.
karibuni sana.
Ila inapendeza kweli kwenda kumwona babu live na kupata kikombe si lazima uwe mahututi,bali ni moja ya kuhakikisha miujiza ya Mungu ya kumshushia mtu dawa bila ya kupitia maabara.
karibuni sana.
Subscribe to:
Posts (Atom)