Tuesday, January 18, 2011

RURAL PRESS PROJECT HOW WORKES NI SOUTHERN ZONE OF TANZANIA

 After collecting news by the Journalists or reporters or any work  such as office documents,calenders has to sent to computer room as mis Anne Joseph composing and making layout of the work to be,nad producing films ready for plate making.
 Then after down plate making the  plate will be  sent to printers so as the production will be going on thought OF SET machines done by Mr Charles feft And Mr Kaimbe right  the Printer of  TUJIFUNZE KUSINI.
 This stage printed work brought to binding room where it can be perforated,stitched,and cutting
As you see in this section there busy in numbering books

Monday, January 17, 2011

MHESHIMIWA DIWANI CHARLES MHAGAMA WA KATA YA CHEMCHEM KATIKA MANISPAA YA SONGEA ASEMA NINI KUHUSU KATIBA ?

Mheshimiwa Diwani wa kata ya chemchem Manispaa ya Songea  mkoani Ruvuma Charles Mhagama mwenye suluali ya rangi ya udongo akitoa maoni yake kuhusu Katiba ya Jamhuuri ya muungano wa Tanzania kwa Mwenye kiti wa waandhishi wa Habari Ruvuma Bwana Juma Nyumayo aliyevaa shati mikono mifupi Mateka leo.

Mhe.Mhagama amempongeza sana Rais Jakaya Kikwete kwa kuwaelezea watanzania kuuhusu Katiba ya nchi hii,siku ya kuuaga mwaka 2010 na kuukaribisha mwaka 2011.Na azima yake ya kuunda Tume ya kukusanaya maoni juu ya katiba.kwa maoni yake anauliza:-
  • Je ni watanzania wangapi wameshaiona katiba ya Tanzania?
  • Nakama wamekwisha iona ina rangi gani?
  • Ni Tasisi ngapi zimekwisha pelekewa Katiba ya Nchi?
  • Kama sivyo basi Jambo la katiba lisichukuliwe kama jambo rahisi kama wengi wanavyo lichukulia.
Kuhusu kuifanyia marekebisho Katiba yatafanyiwa marekebisho yepi ambayo wananchi wenyewe hawajawahi kuiona na kuyasoma yaliyomo na kusema sasa haya yafanyiwe marekebisho. 

  Kaongezea ili jambo hili lisiwe la watu wachache tu waliyobahatika kukutana na Katiba hiyo.Tume  itakayo undwa kukusanya maoni iwe basi na nakala za kutosha za kuwaonyesha wananchi katiba hiyo ya zamani au elimu ya Uraia kuhusu katiba na yaliyomo yatolewe kwa wananchi ili wawe wanajua nini kinacho takiwa kufanyika ili kupata katiba itakayo wafaa watanzania.

Wanaotaka katiba mpya iundwe,je hiyo ya zamani wamekwisha iona na kuisoma hata kufikia mwafaka wa kuunda mpya?
Na kama ndivyo ni kweli kabisa katiba yote ya zamani haikuwa na jambo lolote bora kwa watanzania?

Pamoja na kuunda mpya lazima kuna baadhi ya vipengele vitakuwa na maana ni lazima vitabaki,watanzania lazima wawe waangalifu kuhusu jambo hili,kama midahalo kadhaa inayo endelea kuhusu Katiba,mambo mengi yataibuliwa,kila Tasisi itahusika,wananchi wakila hali watahitajiwa kutoa mawazo yao.

Je watatoa maoni kwa kitu wasichokijua? wala kukiona ?

Ili kutofautisha kitu kiomja na kingine ni lazima uvione kwanza vitu hivyo ndipo utoe kasoro.lakini katiba ya zamani watu hawajawahi kuiona wala kuisoma unamwambia toa maoni yako,unategemea kupata nini.

Maoni ya wasikilizaji wengine wapo tofauti na mawazo ya watu wanaodai kuwa suala la katiba lipelekwe Bungeni,watu wanasema Katiba si suala la kujadiliwa na wabunge peke yao,bali lipelekwe kwa wananchi  ambao ndiyo wenye kuongozwa na katiba ya nchi,Hivyi suala la kukusanya maoni juu ya jambo hilo kutoka kwa wananchi ni la busara  lisichukuliwe kama si jambo la muhimu.

MKUU WA CHUO KIKUU HURIA TANZANIA TAWI LA IRINGA BWANA BAHATI CHALE AKIWA NA MAJONZI WAKATI WA MAZISHI YA MKEWE MATEKA MANISPAA YA SONGEA LEO

 Bwana Bahati Chale mwenye koti akiwa na tafakari nzito wakati wa buriani kwa mkewe mwalimu Sairis Mhagama wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya mateka Manispaa ya Songea leo
 Jeneza la Marehemu Sairis Mhagama likiingizwa kaburini leo baada ya kutoka kanisani kanisa dogo la Mateka Manispaa ya Songea.
Padre akiendelea na Ibada ya Marehemu Sairis Mhagama baada ya Jeneza kuwekwa kaburini,ili mazishi yaendelee,watu wengi walifurika katika msiba huo,ambao ulisikitisha kila mmoja aliyeitambua familia Ya Bwana na Marehemu Bibi Chale.Bwana alitoa Bwana alitwaa.Roho ya marehemu Sairis Mhagama Mungu aweke mahali peme Peponi.Amin.

TANZIA

Familia Bahati Chale Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania tawi la Iringa Inastikitika kutangaza kifo cha mke wake mpendwa Mwalimu Sairis Mhagama kilichotoke juzi kwa ajali ya gari tanangozi mkoani Iringa na mazishi yamefanyika leo nyumbani kwake Mateke katika manispaa ya Songea,habari ziwafikie ndugu na jamaa popote pale walipo,wafanyakazi wa Chuo Kikuu Huria Tanzania na wanachuo wote waliopitia chuo kikuu Huria Tanzania Tawi la Songea  na Iringa popote pale walipo.

Saturday, January 15, 2011

SEHEMU YA JUU YA JENGO LA OPD KATIKA HOSPITALI YA MKOA SONGEA IKIWA NI BAADHI YA MAJENGO YALIYO KARABATIWA KWA FEDHA ZA SERIKALI

Moja ya majengo yaliyofanyiwa ukarabati kutokana na fedha za serikali,ushauri wa karibu kutoka uongozi wa juu wa mkoa,waheshimiwa wabunge Dkt Emanuel Nchimbi,Celina komabane,Mhe.RAS Salehe Pamba pamoja na uongozi wa Taasisi ya Hosipitali hiyo.

KIONGOZI AKIWEZESHWA NA AKISIMAMIA KWA KUSHIRIKISHA UONGOZI WA JUU NA WENZAKE KATIKIKA TAASISI MAENDELEO YATAONEKANA

Mganga Mkuu wa hospitali Mkoa Songea Dkt Daniel Malekela alisema siri ya kufanikisha ukarabati wa Hospital hiyo ya mkoa ni namna walivyo tumia mamilioni kadhaa yaliyotplewa na serikali kwa ajili ya kukarabati nyumba ya upasuaji,OPD sehemu ya juu,jengo la akinamama kwa ajili ya kujifungua pamoja na chumba cha upasuaji akinamama ambao hawana uwezo wa kujifungua kwa kawaida.

Alisema jengo lilokarabatiwa lina vitanda 80 vya kulaza wagonjwa waliofanyiwa upasuaji na wagonjwa wakawaida.Alisema kwa kufanya au kupata ushauri kutoka uongozi wa juu mkoani hasa Mhe.Salehe Pamba ambaye alikuwa RAS wa mkoa huo,na mkuu wa mkoa pamoja na uongozi wa taasisi ya hospitali hiyo ya mkoa ndiyo imefanya majengo yaonekane bora na kuvutia,hata mgonjwa anakuwa na matumaini ya kupona kabla hata ya kupata matibabu.



MPENDA MVULA AND TV EDITING THIS WEEK END

A TV shooter Mr Mpenda Mvula is a good in editing a TV movie,he can twist a picture to any position,acording the instruction of his customer,you can find him to his office,a former SHIHATA house near New Star Hotel Songea Municipality