Sunday, March 8, 2015

KATIBA INAYOPENDEKEZWA ISIPO PITA KATIBA YA ZAMANI ITAENDELEA - RAIS KIKWETE MOROGORO

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE amesama kuwa iwapo Katiba mpya inayopendekezwa isipopita ,Katiba iliyopo itaendelea.Rais alisema hayo siku ya kilele cha siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika Kitaifa Mkoani Morogoro katika Uwanja wa Jamhuri Manispaa ya Morogoro leo.

Aidha alisema kuwa wananchi wajitokeze kwa wingi kuipigia kura Katiba inayopendekezwa